Michezo ya watoto!
Uwapo Mwafrika Hotel utaweza kupata Michezo mbalimbali inayochezwa na watoto. Mara nyingi michezo hiyo huigiza maisha halisi ya jamii. Watoto hucheza kutokana na vipaumbele vyao, kwa mfano kama kipaumbele cha mtoto ni kuogelea, basi mtoto atacheza mchezo wa kuogelea licha ya kuchanganya na michezo mingine.Michezo ya watoto huwasaidia kukua kiakili na kimwili pia. Ni muhimu watoto waweze kushiriki michezo mbalimbali kwa madhumuni ya kuwajenga.Michezo ya watoto ipo ya aina mbalimbali, kwa mfano Mwafrika Hotel Usule kuna:KUOGELEAKUBEMBEAKURUKA KAMBAn.k
Read more